Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru wafanyakazi wenzake. uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma kadi yake ya kumpongeza kwa uteuzi baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula (kushoto) wakati wa mkutano maalum wa kuwashukuru wafanyakazi wenzake uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru wafanyakazi wenzake. uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...