Aliyekuwa mtangazaji wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wakongwe wa DW jijini Bonn, Ujerumani alikohamia hivi karibuni. Wengine Kutoka kushoto ni Bruce Amani, Abdul Mtullya, Sekione Kitojo, Sudi Mnette, Isaac Gamba, Mohammed Abdulrahman. Gamba amejiunga na DW akitokea ITV/Radio One Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...