Chopa iliyokuwa ikitumiwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassary ikiwa juu ya mti mara baada ya kupiga mweleka jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.

Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2015

    Poleni sana wahanga wa ajali LAKINI hili ni fundisho kwa watumiaji wa chopa ktk hz kampeni, tumieni pesa kusaidia wananchi wasiojiweza mtapata thawabu kwa Mungu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2015

    ni kweli tu- Wasaidieni wanyonge na mihela hiyo ili mpate thawabu toka kwa MUNGU na si kuwasisimua wanakijiji na mikelele ya Choper ili waje mikutanoni. Nakumbuka enzi zetu hata choper ikiwa ilitua umbali mile kumi tutatoka nduki hadi tuwasili ili tuicheki ni nini hii!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2015

    Pole sana mh wetu Dogo janja Joshua Nassary, Mungu ni mwema endelezeni mapambano Mungu atatusaidia katika kuelekea ukombozi wa taifa dhidi ya mafisadi wengi waliopo katika tasisi zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...