Balozi Amina Salum Ali
Dkt John Pombe Magufuli
Dkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM
CCM kwaherini: kwa mtaji huu mmekwisha.
ReplyDeleteBalozi Amina Salum Ali, you stand out as a leader, by being the only party presidential contender who was ready for the Presidential debate you inspired us. All the best Ambassador.
ReplyDelete