Mkurungenzi wa Mfuko wa Jamii
ya Afya( NIHIF) wa Afya
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF),Eugen Mikongoti
akikabidhiwa jezi 100 kwa
Mlezi wa Kikundi cha Timberland jogging Sports ,Careen Mgonja wakati mfuko huo ulipotembelea kikundi hicho Yombo Kilakala leo jijini Dar es
Salaam.
Mkurungenzi wa Jamii
wa Mfuko wa Afya wa Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti wa kwanza kulia azungumza na viongozi wa kikundi cha
Timberland jogging Sports ,Careen Mgonja
wakati mfuko huo ulipotembelea
kikundi hicho Yombo Kilakala leo
jijini Dar es Salaam
Mkurungenzi wa Jamii
wa Mfuko wa Afya wa Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti akiwa katika picha ya pamoja na kikundi cha
Timberland jogging Sports ,Careen Mgonja
wakati mfuko huo ulipotembelea
kikundi hicho Yombo Kilakala leo
jijini Dar es Salaam (Picha na Emmanue l Massaka wa Glob y Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...