Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao.

Waanchi wa kijiji cha Muvae wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao.

sidhani kama atapata uwaziri tena. kama ana moyo awaendeleze wana jimbo lake hata mizengwe kwenye awamu ya tano.
ReplyDeleteTunamtakia ushindi.
ReplyDelete