Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dr. Charles Tizeba (kushoto), Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma wakati wa uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma (katikati) akifurahia baada ya uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.  Ofisi hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (kushoto); kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Awadh Massawe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...