Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na watanzania waishio Switzerland katika hoteli ya
Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.
Watanzania waishio Switzerland.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana baada ya kuzungumza nao
na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva
Uswisi.(picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...