Home
Unlabelled
SAKATA LA MAMA MJANE KUTIMULIWA KATIKA NYUMBA SINZA, DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa Legal and Human Rights and Centre na WAMA wapo wapi?? Yaani mimi sielewi kabisa umuhimu wa mashirika kama haya na yote mengine yaani yapo yapo tu lakini msaada wa kweli kwa wenye shida kama huyu mama sijui wanawasaidiaje!
ReplyDeleteKweli Tanzania inaonesha ipo nyuma sana na Umasikini umezidi mno...Yaani Mjane anatolewa nje na ndugu wa malehemu kweli???? Alafu hakuna wa kumsaidia huyu Mjane kweli na mashirika husika yanafumbia macho wote pamoja na Mahakama??!! Alafu unayakuta mashirika hayo hayo yanakimbia nje za nchi na kwenye mabalozi mbalimbali yakidanganya wahisani kwamba yanasaidia watu wakati mama huyu na mtoto wake wanateswa na ndugu wa marehemu na leo hawajui watalala wapi!!
Serikali nawaomba angalieni maswala ya haki za kina mama na watoto zaidi maana dunia ya leo ilipofikia sio ndugu wabaki kuangalia maswala ya mali za marehemu wakati marehemu ana mke na watoto!!
Shame on you all wahusika na shame on you all Legal and Human Rights and Centre pamoja na mashirika ya akina mama na watoto. SIONI KAZI MNAYOFANYA WAKINA MAMA NA WATOTO WANATESEKA, ALBINO WANAUWAWA ALAFU MNASEMA AKI ZA BINADAMU!!
mashirIKA HAYO Yapo kimaslahi zaidi mdau hapo juu.
ReplyDelete