MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI, MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI
WOTE WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA UTT (UTT-AMIS) WAMEPOKEA KWA HUZUNI MKUBWA
HABARI YA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI MUASISI WA DHAMANA YA UWEKEZAJI
TANZANIA (UTT) (2003-2009) BALOZI ERNEST MULOKOZI (PICHANI).
IKUMBUKWE, MAFANIKIO YA UTT AMIS, UTT PID NA UTT MICROFINANCE
NI KUTOKANA NA MISINGI BORA YA UONGOZI ALIYOWEKA WAKATI WA KIPINDI CHAKE. NI
DHAHIRI, UTT-AMIS NA SEKTA NZIMA YA MASOKO YA FEDHA NA MITAJI ITAMKUMBUKA BALOZI
MULOKOZI KWA MCHANGO WAKE MKUBWA.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE
MAHALI PEMA PEPONI AMEN.
Pleni wafiwa. Ma Kristina, watoto na wajukuu poleni na kuondokewa na mzee Ernest Mulokozi.
ReplyDelete