TIMU BORA YA WATANZANIA WAISHIO UGHAIBUNI FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM IMEFANIKIWA KUNYAKUA KOMBE LA NATIONAL CUP, LILILOMALIZIKA JUMAPILI JULAI 5, 2015 BAADA YA KUSHINDA MECHI ZAKE ZOTE NANE KATIKA VIWANJA VYA KÄRRTOP IP JIJINI STOCKHOLM.
Kikosi cha Kilimanjaro kikipasha kabla ya mechi kuanza.
Wapinzani wa Fc Kilimanjaro ktk semi final.
Makapteni wasaidizi wa Fc Kilimanjaro Jamil Jabeer na Ahmed Daddy wakiwa pamoja na mchezaji veteran Andrew Dudley.
Kapteni msaidizi Jamil Jabeer akipozi na kombe pamoja na mmoja wa walezi wa team Naaman Jasson.
Kikosi cha Fc Kilimanjaro pamoja na baadhi ya washabiki wakifurahia ushindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...