Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2015

    Issa asante sana kwa kutuwekea kibao hiki cha kumuenzi Le Generali Banza Stone. Kimenigusa sana maana hii ndiyo TWanga Pepeta niijuayo mimi. Siyo siku hizi mikelele na misebene mireeefu na kila mtu kujifanya Mkongomani. Najua upo karibu na Asha na kaka Baraka. Waambie ili kumuenzi Banza Stone waturudishie mdundo wetu wa Twanga Pepeta halisi kama huo, na sio kushindana kutaja majina na kupiga mikelele jukwaani na kushindana na kina Nyoshi. Tunataka mdundo wa kitanzania kam a huo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...