Wananchi wa Burundi leo wamepiga kura kumchagua Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huo umefanyika katika mazingira ya amani ingawaje kwa upande wa jiji la Bujumbura wananchi walianza kujitokeza zaidi mchana
Wananchi wakipiga kura Bujumbura kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega.
Mawanamama akipiga kura yake kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega.
Bango la wagombea nafasi ya Urais wa Burundi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...