Mwenyekiti wa Kampeni iliyolenga kupata fedha
kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya
saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa kutangaza kiasi cha fedha kilichopatikana katika
harambee ya jijini Dar es Salaam ambapo kiasi cha shilingi Milioni 31
zilipatikan ikiwa ni ahadi na taslimu. Kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo ambaye
pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO, Zamaradi Kawawa. Harambee nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka huu.
Mwenyekiti wa Kampeni iliyolenga kupata fedha
kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya
saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa kutangaza kiasi cha fedha kilichopatikana katika
harambee ya jijini Dar es Salaam leo, ambapo kiasi cha shilingi Milioni 31
zilipatikan ikiwa ni ahadi na taslimu. Pamoja nao ni Wajumbe wa Kamati hiyo Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO, Zamaradi Kawawa (kulia) na Judicate Shoo.Harambee nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka huu.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika mkutano huo hii leo. Kutoka kushoto ni Mroki Mroki, Leah Samike, Judicate Shoo, Mwenyekiti Benjamin Thomson, Zamaradi Kawawa, Angela Michael Msangi, Grace Nakson na Somoe Ng'itu. Harambee nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...