Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mhe. Dora Msechu (wa pili kulia) akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za Eid el Fitr jana kwenye ukumbi wa Huddinge jijini Stockholm ambako waislamu walijumuika na Watanzania wenzao kusherehekea mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu kwa kupata chakula cha pamoja.
Keki ya Eid na mapochopocho mengine
Bi Aisha Waziri akikata keki ya Eid
Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...