Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh (Edinburgh Global Partnership) walipmotembelea ofisini kwake leo.Wanafunzia wanasaidia ujenzi wa Viwanjwa viwili vya michezo ya Mipira ya Kikapu,Pete na Wavu vilivyogharimu zaidi ya shilingi milioni 33.Viwanja hivyo vimejengwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa asasi isiyo ya Kiserikali ya Msimamo Youth Educator yenye maskani yake Vingunguti, jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Edinburgh wasaidia sekta ya Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...