Mkutano
wa Mkubwa watatu wa Kimataifa, unaojadili Ufadhili wa Maendeleo (FFD3) ,
umeanza leo Jumatatu jijini
Adds Ababa, Ethiopia.
Ujumbe
Tanzania katika mkutano huu ambao utakafanyika
kwa siku tatu unaongozwa na Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (pichani) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania , Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mhe. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum atauhutubia
mkutano huo siku ya Jumanne Julai 14, 2015. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...