Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Adam Msumule akizungumza na Michuzi Blog mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Fedha kuhusiana na bajeti iliyopitishwa hivi karibuni Bungeni Dodoma katika maonyesho ya 39 ya kibiashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi Mkuu wa fedha- Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti, Moses Ndeutwa.
Wananchi wakipewa maelekezo katika banda la wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya kibiashara ya Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha Idara ya Bajeti katika maonyesho ya 39 ya kibioashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...