Balozi wa Papa Mtakatifu wa kanisa katoliki Nchini Franchesco Padilia akitosi pamoja na Askofu Mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Dodoma Mathias Isuja walipokua kwenye Tafrija Fupi ya kumpongeza Askofu mteule wa jimbo hilo aliyekuwa akivishwa mkanda  wa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Pallium. baada ya kumkabidhi kusimamaia majimbo ya Dodoma, Kondoa na Singida
  Balozi anayemwakilisha Papa Fransico nchini, Askofu Beatus Kinyaiya na Fadha Chesco Msaga Mwenye Suti wakiingia kwenye ukumbi wa kanisa katoliki jimbo la Dodoma kwa ajili ya kumpongeza Askofu mwenyeji baada ya kuvalisha mkanda wa uliotengenezwa kwa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Paliotakatifu [Pallium] ambao ni maalumu kwa maaskofu wakuu pekee.

 
 
 Mapadri wakiwa ndani ya ukumbi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...