Kaimu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa
baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika
ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.
Home
Unlabelled
Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lafanyika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...