Afred Salwa (MZUMBE) akiwasilisha Mchango wake kuhusu Muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2015 wakati wa kipindi cha majadiliano kwenye Bunge hilo
Wajumbe wa Bunge la Vijana wakishiriki Vikao vya Bunge hilo Mjini Dodoma
Waziri Mkuu katika Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Alexandra Wasonga (ARDHI) akijibu Maswali ya papo kwa papo Bunge wakati wa Kipindi cha Masuali kwa Waziri Mkuu
Waziri kivuli wa Vijana kutoka Kambi Pinzani kwenye Bunge la Vijana Bi. Joyce Shirima akielezea baadhi ya Mapendekezo ambayo yanastahili kuingizwa kwenye Muswada wakati wa Majadiliano Bungeni.






Bunge la vijana linachaguliwaje?
ReplyDelete