Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCM
wilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo.
Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara Janet Mbene,akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika
hospital ambavyo avimetolewa na Karemjee Foundation kwa ajili ya
Hospital ya Ileje.
Mganga mkuu wa Wilaya ya ilje, akiangalaia sehemu ya msaada wa vitanda uliotolewa na Janet Mbene.
Mafundi wa Hospitala wakiunganisha kitanda cha kujifunguliwa kilicholetwa na Mh Janet Mben kwa ajili ya hospitalai za ieleje.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...