Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja. kisakuzi-video-tanzania Tunapokea video ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu yako au kamera yako. Nirahisi. Upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kuituma kwenda Je, wajua kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta yako unaweza kujiongezea hela za ziada. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja. Tunapokea videos ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu au kamera yako mwenyewe. Nirahisi upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kututumia kwa njia zifuatazo:
Whatsapp namba +255 714 227 955
E-mail: kisakuzivideo@gmail.com
au pia unaweza uka- upload mwenyewe kwenye tovuti yetu ya www.kisakuzi.com kisakuzi-video-tanzania2 Mara baada ya video yako inapokubalika na kutumika kwenye tovuti yetu ya www.kisakuzi.com tutakulipa fedha yako ndani ya masaa 24. Changamkia fursa kwa kutumia simu yako ya mkononi na uweze kujiongezea kipato chako katika maisha. Kisakuzi inakuwezesha wewe kuwa boss wako mwenyewe. Pale utakapoona kituko au habari yenye mvuto changamka na urekodi video na tutumie. Video za kuchekesha, vituko, kusikitisha, kufurahisha na za kampeni za uchaguzi zinapendwa zaidi na watazamaji wetu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...