Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe moja
Mkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao kitaendelea hadi kufikia makubaliano ya Ratiba kwa vyama vyote.
+255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
http://myradiostream.com/ focusradiotz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
http://myradiostream.com/
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
YOUTUBE / TV
http://bitly.com/1Leujup
VIPINDI VYA REDIO
http://bitly.com/1Clt0r8
FACEBOOKhttp://bitly.com/1Leujup
VIPINDI VYA REDIO
http://bitly.com/1Clt0r8
http://bitly.com/1zIiIkq
http://bit.ly/1678Vq2
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...