Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akifungua kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa
Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea
ukuaji wa uchumi Tanzania
Washiriki wa kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Baadhi ya washiriki katika kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...