Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibuni siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25.
Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10 wanaotakiwa watano kila upande ilikutengeneza hoja.
Licha ya kijiwe kutakuwa na nyama choma kutoka kwenye jiko la kisasa kabisa kama bite wakati kijiwe kinaendelea.
Tembelea web hii kuona picha zenye ubora za matukio yote ya kwenye community za Watanzanai.
|
Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUREKODIWA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA. Posted: 12 Aug 2015 09:15 AM PDT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...