Mgombea urais wa
Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa
kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM, Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Waziri
Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi
(CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni
ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa
muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo leo.Chama cha CCM
kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar na
kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho cha CCM
Wananchi
wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa
kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.

Sehemu
ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini
MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Wananchi wa kata ya Katumba wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa wingi kumsikiliza Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo, wilayani Nsimbo mkoani Katavi
Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Kama katika umati huu wengi wamejiandikisha na watapiga kura mwezi wa kumi basi CCM itaendelea kuwa juu tu ya vyama vingine vya siasa. Endeleza kampeni zenye hoja za maendeleo na sera nzuri. Sisi nikuwatakia ushindi kwa sababu ya mtandao wenu uliosambaa nchi nzima.
ReplyDelete