Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary's iliyoko eneo la Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.
Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Mary's Forest Jijini Mbeya
Wazazi na walezi
Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.
Kwa picha zaidi na Jamiimoja blog BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wanafunzi muendelee kufanya vizuri masomoni msisahau kuzingatia maadili mema yatakayowawezesha kuwa raia wema wenye wajibu wa kuendeleza jamii yetu ya kitanzania.

    ReplyDelete
  2. Usiminye, Ankali Michuzi:

    Achaneni kujipamba kwa hiyo rangi ya majivu meupe. Wengine inatukumbusha enzi za ubaguzi wa Weupe hapa Marekani kudhalilisha utu na heshima ya wenye asili ya Afrika kwa kuonekana kujipamba hiyo rangi ili aonekane kama tumbili hivi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...