Na Bashir Yakub
Sheria ya ardhi Sura ya 113 imetoa maelezo kwa upana kuhusu miamala kati ya mtoa mkopo , mkopaji na dhamana inayohusika katika mkopo huo. Mara kadhaa watu binafsi, taasisi za haki za binadamu, asasi za kiraia, na makundi mengine wamekuwa wakitoa maelezo mbalimbali yanayotokana na sheria hii hasa wakilenga kupunguza vitendo vya ukiukaji wa taratibu ambao hufanywa na baadhi yua taasisi za mikopo zikishirikiana na makampuni ya udalali ( Brockers/auctioneers).
Katika kipindi hiki ambapo taasisi za fedha zinazojihusisha na mikopo zimeongozeka watu wengi wamekuwa wakilalamikia mienendo yake hasa pale mtu anaposhindwa kurejesha kwa wakati. Pia wamekuwa wakilalamikia namna taasisi hizi zinavyowakokotolea mahesabu hasa yale ya riba. Jingine ni taratibu zinazotumika katika kuuza/ kunadisha dhamana ya mtu hasa nyumba iwapo mlengwa ameshindwa kurejesha.
http://sheriayakub.blogspot.com/2015/08/makosa-ya-kisheria-katika-kunadisha.htmlKusoma zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...