Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.




Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.
Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani  jijini Dar es Salaam.
 Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo katika ufunguzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM kwenye viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaam.
 Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.

Wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo. 
Picha na Avila Kakingo na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi nilidhani Blog ya watu haina upendeleo. Jana nilingoja breaking news ya Sumaye ikawa kimya. Leo naona umeweka mpaka video.

    you know why you lost popularity on Diaspora? because of bias.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona habari ya Sumaye ipo tangu jana

      Delete
  2. Kuhama chama sio breaking news. Na wewe fungua blog yako. Michuzi bado yupo juu diaspora. Acha mihemuko ya kisiasa

    ReplyDelete
  3. Diaspora ni wewe. kama yanakukera rudi upambane

    ReplyDelete
  4. How could Sumaye moved to ukawa a breaking news? What is strange about that? A guy was a prime minister for 10 years, alifanya nini then? Nothing. What is he going to do now. Nothing.
    You are the one who is based. Fikiri kabla hujasema, mie pia niliamini mabadiliko yaletwe na ukawa. Since lowassa na timu yake ilipoingia ukawa, plus reaction za slaa na lipumba, I did 180 degree turn. Naamini magufuli might do something to us,
    Tafakari sana.
    Issa keep it up. Blog yako don't be afraid to say what you think is right, whether you lost popularity or not
    kimgwendulile

    ReplyDelete
  5. Wewe mdau hapo juu unayejiita 'diaspora' mbona huku Diaspora tupo wengi na wengine kila jambo la maana tunalipata kutoka kwa kwenye Michuzi blog. Kuhama chama siyo breaking news. Au unataka hata watu wakiachika au kuachwa kwenye ndoa zao tuzisome humu. Ankal kazi nzuri endelezeni Libeneke:-)

    ReplyDelete
  6. Mheshimiwa tena mwungana DIASPORA.
    Nakubaliana nawe mawazo yako. Basi wewe na mimi tufungue blog zetu na tuweke kila siku break news za Sumaye.Brother get a life.

    ReplyDelete
  7. nAUNGA MKONO HOJA. BREAKING NEWS KWANI AJALI,? NI HABARI KAMA ZILIZO NYINGINE NA TAARIFA TULIISOMA HUMU HUMU NDANI. ASANTE KAKA MICHUZI KUENDELEA KUTUHABARISHA. KIFUPI HAKUNA JIPYA KWA KUHAMA KWAKE HAKUNA ATAKACHOIFANYIA TZ HII IKIWA KWA MIAKA KUMI AKIWA MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI ALISHINDWA.

    ReplyDelete
  8. Wewe wa 1 – 6 of 6 hapo juu:

    Ulifanya utafiti gani na lini na kwa wana-diaspora wote kutamati hivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...