picha ikionyesha wachezaji wa timu ya pentagone ya jijini arusha
Iliovaa bluu ikiwa inachezana wachezaji wa timu ya tanga katika
MICHUANO yamchezo wa wavu
klabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini hapa ambapo timu ya
mchezo wa wavu ya tanga iliibuka kidedea kwa kuifunga timu ya
pentagoni seti 3-1
 wachezaji wa pentagoni wakiwa wanamsikiliza mwalimu


picha zote na woinde shizza, Arusha

MICHUANO yamchezo wa wavu klabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini Arusha hukuikizishuhudia timu shiriki zikichuana vikali kwa kuonyesha ubabe.Katikaufunguzi  wa michuano hiyo timu zaPentagone na Flowers za jijini Aruisha zilifungua mashindano hayo ambapozilifanikiwa kumaliza mchezo kwa timu ya Pentagone kuibuka na ushindi wa seti3-0 dhidi ya wapinzani wao.
Michezo mingine ilichezwa kwa wanaume ambapo ilizikutanisha timu za  Dodoma ambayo iliibuka na ushindi wa  seti 3-0 dhidi yaTanga, Karatu  walishinda seti 3-0 dhidi ya Flowers  hukuwa na upande wa wanawake timu ya Dodoma ilichabangwa jumla ya seti 3-0 na wenzaoTanga. 
Mashindano hayo  yaliyoandaliwa na chama cha wavu
Tanzania(TAVA)  kwa Kushirikiana na chama chawavu mkoa Arusha
(AVA)yamekutanisha ,ikoa mitatu pekee ambayo ni Arusha ,Dodomana Tanga
huku vilabu sita kutoka mikoa hiyo ndivyo vinaonyeshana
ushindaniambavyo ni Pentagone kalbu,Flowers Arusha,Karatu,JKT Mbweni
ya Dar es salaam ,na Dodoma na Tanga vikiwakilishwa na timu mbili za
wanaume na wanawake kilamoja.

Makamomwenyekiti wa chama cha wavu Tanzania (TAVA) Muharami  Mchume alisema kuwa  mikoa mingine imeshindwa kushirikkutokana na sababu mbalimbali za kwao kwani zilithibitisha kuja lakini hazikuweza kufika .“Baadhi ya vilabu viliweza kutupa taarifa ya kushindwa kuja kwao katika mashindano hayaikiwemo vilabu vya  jeshi na magerezamabavyo  vilitupa sababu yakuwa katikamasuala ya ulinzi na usalama.”alifafanua Mchume.
Aidha alieleza zawadi mbalimbali ikiwemo medali navikozitatolewa kwa washindi na kuongeza kuwa  Mabingwa watetezi wa michuano hiyo ya
wavu2014  timu ya Magereza kwa wanawakekutoka jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...