Kaimu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati)
akizungumza na vyombo vya habari leo katika ukumbi wa Habari (MAELEZO)
kuhusu mkutano wa Serikali Mtandao utakaowakutanisha Watendaji Wakuu na
Maofisa wa Ngazi na Fani Mbalimbali kutoka Serikalini utakaofanyika
jijini Arusha Agosti 17-20,2015.
Home
Unlabelled
Mkutano wa Masuala ya Serikali Mtandao kufanyika jijini Arusha Agosti 17
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...