Aliyekuwa  mgombea wa nafasi ya Urais Monica Mbega jukwaani  akimwombea  kura  mgombea  urais wa  CCM na mgombea  ubunge jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela (aliyekaa katikati kulia) leo  baada ya  mwakalebela  kuchukua  fomu ya ubunge.
Monica  Mbega  akimpongeza  Mwakalebela
Monica  Mbega  akijiandaa kumsalimia Kiponza.
Mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Bw  Abeid Kiponza  (kulia) akimtambulisha mgombea  ubunge jimbo la Iringa mjini Frederick Mwakalebela  leo.

Mgombea udiwani wa kata ya Mtwivila Bw Jose Mgongolwa (kulia) akitambulishwa na Mwakalebela.
Mgombea  udiwani wa kata ya Mkimbizi Bi Farida Mpogole  akitambulishwa na Mwakalebela
Mwakalebela  akimtambulisha mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga Bw Nicholina Lulandala
Mwakalebela  akimtambulisha mgombea udiwani wa Kwakilosa Bw Himid Mbata (kulia)
Mwenyekiti  wa CCM wilaya ya  Iringa mjini Bw Abeid  Kiponza  akimtambulisha  mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia  CCM Bw  Frederick Mwakalebela (kushoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...