Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7 EFM na pia alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya kazi.
Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi na bwana E wa EFM. Dada huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya biashara eneo la Magomeni, jijini Dar Es Salaam.
Bwana E Mr Jimmy Jiam akionekana anapozi na kumpa zawadi ya T-shirt ya EFM mshindi wa EFM Muzuki Mnene Bango.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...