Mshindi wa EFM Muziki Mnene bango akionyesha bango lake la EFM ambalo ameweka kwenye sehemu yake ya biahsara eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.
Duu! Bwana E si akazama hadi ndani ya duka, hapa ni Jimmy Jiam kimkabidhi zawadi mshindi huyo kwakumpa zawadi kadhaa na kumshukuru kwa kuwa shabiki wa EFM.
Mshindi mwingine akipokea zawadi yake ya t-shirt ya EFM Muziki Mnene kutoka kwa bwana E baada yakuonekana kuwa ameweka stika ya EFM kwenye bodaboda yake.
Bango kubwa lililo oneka kwenye eneo la Tegeta jijini Dar es salaam. Bango hilo limewekwa na shabiki wa EFM kwenye eneo lake la biashara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...