Mwakilishi
Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (katikati)
akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia)
wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea
na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi
Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea
Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimfafanulia jambo
Mwakilishi Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello
(katikati) wakati wa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano
kati ya Marekani na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania
kwa kupokea na kuhifadhi Wakimbizi nchini. Kushoto ni Naibu Balozi wa Marekani nchini,
Bibi Virginia Blaser. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea
Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimkaribisha Mwakilishi
Maalumu wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu, Thomas Perriello (wapili
kushoto), Naibu Balozi wa Marekani nchini, Bibi Virginia Blaser (kushoto),
pamoja na wasaidizi wa viongozi hao wanaoiwakilisha Marekani (kulia), kabla ya
kuanza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Marekani
na Tanzania. Hata hivyo, Mwakilishi huyo aliipongeza Tanzania kwa kupokea na
kuhifadhi Wakimbizi nchini. Mwakilishi huyo akiambatana na Naibu Balozi, walimtembelea
Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...