Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza,
mmoja waviongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa
kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeya hivi karibuni. 
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia baadhi ya bidhaa
zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya
matumizi mbalimbali
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...