Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhiwa fomu
za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Lindi Olliver Vavunge.
Mbunge
wa Jimbo la Mchinga Said Mtanda akipokea fomu za uteuzi kwa nafasi ya
ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimina na
wananchi waliojitokeza kumsindikiza kwenda kuchukua fomu za uteuzi wa
ubunge za Tume ya Taifa ya Uchaguzi .Nape Nnauye ndie mgombea
aliyependekezwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea jimbo la Mtama mkoani
Lindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...