Wanahabari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani Tanzania Thomas Godda juu ya kuwahimiza wanachi kwenda kupiga kura kwa amni na kumchanguwa kiongozi bora leo jiji Dar es Salaam
Mkurungenzi Mkuu wa Global Peace Foundation Tanzania Martha Nghambi juu ya wananchi kupiga kula kwa amani nautulivu na kujitokesa kwa wingi siku ya kupiga kula kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani Tanzania Thomas Godda na Mkurungenzi Mkuu wa Global Peace Foundation Tanzania Martha Nghambi wakiwa katika picha ya pamoja leo jiji Dar es Salaam Picha na Emmanul Massaka wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...