Kadi za NMB Mastercard: Tanzanite, Titanium na World Reward sasa ziko sokoni kwa ajili ya wateja wa NMB.Kwa maelezo zaidi tembelea tawi la NMB lililo karibu yako.
sehemu ya wageni waalikwa waliokuja kushuhudia uzinduzi huo katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Gold Crest-Mwanza.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Baraka Konisaga(pili kushoto) na Mhazini wa NMB - Aziz Chacha wakipongezana baada ya kuzindua NMB MasterCard kwa Mkoa wa Mwanza na Kanda nzima ya Ziwa katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.Aina tatu za Kadi za NMB Mastercard zilizozinduliwa ni: Tanzanite kwa ajili ya wateja wa kawaida,Titanium kwa ajili ya wateja wa kati na NMB World Reward MasterCard kwa ajili ya wateja wa kipato cha juu.Wakishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa-Abraham Augustino na Meneja Mwandamizi wa Wateja Binafsi wa NMB-Getrude Mallya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...