Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju (kushoto) na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015. 
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence  Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker baada ya kumwelezea kuhusu kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaamleo Agosti 27, 2015.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker pamoja na maafisa wa benki hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...