Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
:Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya
kuongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya
kuongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya
kuongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...