Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence
Makakala mara baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi Waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini
Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Agosti 21, 2015.
Rais Jakaya Kikwete akibadilisha mawazo na
Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar
es Salaam. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni
Sefue.
Viongozi waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi
wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kumuapisha Balozi mpya wa Tanzania
nchini Zimbabwe, Luteni Jerenali Charles Lawrence Makakala, leo Ijumaa Agosti
21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...