Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipokwenda kujitambulisha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana
mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kushoto) wakati
alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya utambulisho leo Ikulu jijini
Dar es salaam.
Balozi wa Denmark
nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalimu (wa pili
kushoto) leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Balozi wa Denmark
nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (katikati mstari wa mbele) akiwa
amesimama wakati nyimbo za taifa za Tanzania na Denmark zikiimbwa leo Ikulu
jijini Dar es salaam alipokwenda kujitambulisha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Bendi ya Jeshi la
Polisi nchini ikipiga nyimbo za taifa za Tanzania na Denmark wakati Balozi wa
Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (katikati mstari wa mbele)
alipokuwa anakwenda kujitambulisha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Jakaya Kikwete.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...