Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji safi katika Halmashauri
ya Manispaa ya Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
jiwe la msingi la mradi wa maji safi katiaka Halmashauri ya Manispaa ya
Lindi.
Sehemu
ya Chotea kama inavyoonekana pichani katika mradi mkubwa wa maji safi
katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi,mradi huu ukikamilika utaweza
kutoa lita milioni 750 ambapo utakuwa umetosheleza mahitaji ya maji, kwa
sasa wakazi wa Manispaa ya lindi wanapata lita milioni 250 na mahitaji
yao ni lita milioni 500.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
ujenzi wa mradi wa maji safi uliopo Ng'apa mkoani Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali ,Wahisani na Wakandarasi
mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa maji safi wa
halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Ng'apa waliojitokeza kwa wingi
kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa mradi wa maji safi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...