Wasanii wa Kundi la Quality Boys kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa usaili wa tatu wa shindano la Dance 100% 2015 uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Clup Kinondoni jijini Dar es Salaam.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
aadhi mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, wakifuatilia usaili wa tatu wa shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV nakudhaminiwa na Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki.
Vijana wanaounda kundi la Wazawa kutoka Tandale jijijini Dar es Salaam, wakikongo nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye onyesho la usaili wa tatui wa shindano la Dance100%2015,lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Kkinondoni , shindano hilo limeandaliwa na EATV na Kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya vijana wanaounda kundi la Pambana Fasaha Kiwarani jijiji Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa usaili wa tatu waiwanja vya shindano la Dance100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika katika v Leaders Club mwishoni mwa wiki.
05&006.Vijana wanaoaunda kundi la Fresh Crews la Kinondoni wakionyesha vionjo vyao vya kusakata dance kwa mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, wakati wa usaili wa Tatu wa shindano la Dance100%l lilioandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Vijana wanaoaunda kundi la Fresh Crews la Kinondoni wakionyesha vionjo vyao vya kusakata dance kwa mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, wakati wa usaili wa Tatu wa shindano la Dance100%l lilioandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Majaji wa shindano la Dance 100% 2015,kutoka kushoto Super Nyamwela, Sheta na Queen Darling wakiwa katika mchakato wa usaili wa tatu wa shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, lilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Vijana wanaounda kundi la Pambana fasaha la Kiwalani jijini Dar es Salaam, wakikongo nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye onyesho la usaili wa tatui wa shindano la Dance100%2015,lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Kkinondoni , shindano hilo limeandaliwa na EATV na Kudhaminiwa na Vodacom Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...