Azam tv
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Takukuru,yawatia mbaroni makada wa CCm kwa tuhuma za kutoa rushwa jijini Dar es salaam. https://youtu.be/S5m9N27VKBQ
Wakati kazi ya uandikishaji ikielendelea kwa siku 4 zilizo ongezwa baadhi ya waandikishaji wa BVR wagoma kwa kutolipwa mafao yao. https://youtu.be/QfITiVLbDZI
TBC NEWS
Wizara ya afya na ustawi wa jamii yaombwa kuweka kipaumbele kutibu magonjwa nyemelezi nay ale yasio ambukizwa kwani yamekuwa yakiwasumbua sana wazee na kupelekea vifo. https://youtu.be/P-kzlF3qgfw
Watu wenye ulemavu mkoani Iringa wawaomba wananchi kuwaunga mkono mara wajitokezapo kuwania nafasi mbalimbali za uongozi nchini. https://youtu.be/O4bsAUBrghU
Waandishi wa habari pamoja na wananchi wengine waaswa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kufuatia changamoto nyingi katika kazi zao. https://youtu.be/bVwgPmOv0YU
STAR TV NEWS
Katika hali ya kusikitisha Mwanamke mmoja wilayani Geita atengwa na familia yake kwa zaidi miaka 2 kwa tuhuma za uchawi huku akikosa huduma muhimu kwa mtoto wake. https://youtu.be/SeLDKlEhdoc
Wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi waaswa kutumia mafunzo waliyopata katika kulinda amani,nchi na jamii na kuacha na vitendo vya kihalifu,pamoja na matumizi ya dawa za kulevya. https://youtu.be/wg9o3ZGtLuA
Wizara ya uhamiaji nchini inakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo uhaba wa watumishi, vitendea kazi na mazingira duni ya utendaji kazi. https://youtu.be/KfHWlm2R0po
Huu ni upotezaji wa hela za walipa kodi inabidi kuweka mazingira ya mtu kukubalika kwa asilimia Fulani kuweza kuchukua form za urais. Haawa jamaa 3 hata kwenye familia zao hakubaliki kuongoza itakuwaa nchi let us be serious now.
ReplyDelete