Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli(wapili kushoto),Balozi wa Kuwaiti nchini Tanzania Mhe.Jassem Ibrahim Al Najem(kulia) pamoja na mwakilishi wa Mfuko wa Kuwait Bwana Abdulrahman Al Hashim(wapili kulia) wakifunua kitambaa katika jiwe kuashiria kufungua rasmi barabara ya kilometa 60 ya Ndundu-Somanga wakati wa hafla ikiyofanyika katika kijiji cha Marendego Wilaya ya Kilwa leo.Barabara hiyo imefadhiliwa na mfuko wa Kuwait.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambi na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Barabara ya Ndundu Somanga leo
![]() |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwakilishi wa mfuko wa Kuwait Bwana Abdulrahman Al Hashim wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Barabara ya Ndundu-Somanga iliyofadhiliwa na mfuko huo.Kulia ni Balozi wa Kuwaiti nchini Tanzania Mhe.Jassem Ibrahim al Najem |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...