Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)
NA.
|
MIKOA
|
TAREHE YA KUANZA
|
TAREHE YA KUMALIZA
|
1
|
Njombe, Iringa, Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
|
07/08/2015
|
11/08/2015
|
2
|
Pwani na Zanzibar
|
11/08/2015
|
15/08/2015
|
3
|
Dar es Salaam
|
13/08/2015
|
17/08/2015
|
Mashine zitakuwa katika OFISI YA AFISA MTENDAJI WA KATA kwa ajili ya kusahihisha makosa yaliyojitokeza wakati wa kujiandikisha.
Kwa waliohama wakahamishe taarifa zao ziwepo mahali watakapopigia kura tarehe 25/10/2015
Siku ya UCHAGUZI MKUU.
Tangazo hili limetolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
S.L.P. 10923, Dar es Salaam
Tunza kadi yako, Usimpe Mtu.
JITOKEZE SASA, NENDA KAHAKIKI TAARIFA ZAKO.
Goli la mkono ndio linaanzia hapa au tusemej
ReplyDelete