Ofisa elimu wa jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu
ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya
Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya.
Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa
katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars.
Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...